У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANAMKE MWENYE VIWANJA 16 MORO AFUNGUKA - HAMASA YATOLEWA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWANAMKE MWENYE VIWANJA 16 MORO AFUNGUKA - HAMASA YATOLEWA WANAWAKE KUMILIKI ARDHI... @MWAJUMA RAMBO - MORO CC; BAKARI MAHUNDU Idara ya Ardhi Mkoa wa Morogoro imeanza kampeni ya siku sita ya kutoa elimu ya umiliki wa ardhi kwa wakazi wa Halmashauri ya Mji Ifakara, ikilenga zaidi kuwahamasisha wanawake kumiliki ardhi kisheria. Kwa mujibu wa takwimu za kitaifa, wanawake wanamiliki takribani asilimia 28 pekee ya ardhi. Zoezi hilo linafanyika katika kata ya Viwanja Sitini kufuatia agizo la Waziri wa Ardhi, Leonard Akwilapo, la kuanzisha kliniki maalum za ardhi. ================================================================= ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx