У нас вы можете посмотреть бесплатно Vifo ajali ya basi Morogoro vyafikia 23, Majeruhi wafunguka или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtazamaji wa Mwananchi Digital kutoka Morogoro Lilian Lucas, anatuarifu kuwa Majeruhi 26 wa basi la abiria la Ahmeed afya zao zinaendelea kuimarika na wanaendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa mkoa wa Morogoro Huku idadi ya vifo ikifikia watu 23 Wakizungumza hospitalini hapo majeruhi hao wamesimulia namna walivyoiona Ajali hiyo huku wengine wakisema walikuwa wamelala na kujikuta tayari wapo hospitali