У нас вы можете посмотреть бесплатно NEEMA YA UJUMLA PART2 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Karibu kwenye TUISHINENO MINISTRY 🙏 Channel hii imeanzishwa kwa lengo la kufundisha Neno la Mungu kupitia Biblia Takatifu, kuhimiza maisha ya utakatifu, na kuombea watu wote kwa neema na upendo wa Mungu. -------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- ------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------- Kupitia mafundismani ya kweli kupitia Yesu Kristo. 📖 “Neno lako ni taa ya miguu yangu, na mwanga wa njia yangu.” — Zaburi 119:105 👉 SUBSCRIBE, LIKE na SHARE ili kueneza Injili ya Kristo. 🔔 Washa notification ili usikose mafundisho mapya, maombi na ujumbe wa kiroho. ►Fata TN ministry / Follow TN ministry ⤵️ 🔵E-mail : [email protected] 🔵Tiktok:https://www.tiktok.com/@tuishinenomin... Production : NT ministry Réalisateur : MMC Media Recoding studio : MMC Record ========================================================= #TuishinenoMinistryho haya, utaimarishwa kiroho, utaelewa mapenzi ya Mungu, na kujengwa katika i #NenoLaMungu #MafundishoYaBiblia #Tanzania #Kenya #Uganda #DRCongo #DarEsSalaam #Nairobi #Kampala #Goma #Tanzania#Kenya#DRCongo#Burundi#Msumbiji#Malawi#Zambia ======================================================== Neema ya Mungu ni zawadi ya bure ambayo hatuwezi kuinunua kwa matendo yetu. Katika Neema ya Mungu kwa Ujumla – Part 2, tunajifunza kwa kina maana ya neema, jinsi inavyofanya kazi katika maisha ya Mkristo, na kwa nini wokovu ni kwa neema tu kupitia Yesu Kristo. Video hii itakujenga kiroho, itakuimarisha katika imani, na itakusaidia kuishi maisha ya haki kwa kuelewa neema ya Mungu. 📖 “Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani…” (Waefeso 2:8) 👉 Usisahau Like 👍, Comment 💬, Share 🔁 na Subscribe 🔔 kwa mafundisho zaidi ya neno la Mungu