У нас вы можете посмотреть бесплатно WARAIBU WALIOPONA KUFUNDISHWA UJUZI WA KAZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#HABARI: Serikali imeanza rasmi ujenzi wa Kituo cha Taifa cha Urekebishaji (National Rehabilitation Centre) kwa lengo la kuwasaidia waraibu wa dawa za kulevya wanaopata nafuu kujengewa uwezo kupitia mafunzo ya ujuzi mbalimbali. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA ), Kamishna wa Kinga na Tiba, Dkt. Peter Mfisi, ameeleza kuwa kituo hicho kitakuwa mhimili muhimu wa kuwandaa waraibu hao kurejea katika maisha ya kawaida wakiwa na stadi zitakazowawezesha kujitegemea kiuchumi. Mpango huo unalenga kuhakikisha kuwa waraibu waliopona wanapata fursa za kujiari katika sekta mbalimbali, jambo litakalowazuia kurudi tena kwenye matumizi ya dawa za kulevya kutokana na kukosa shughuli za kufanya. Dkt. Mfisi amesisitiza kuwa ujenzi wa kituo hicho ni mkakati wa kudumu wa Serikali katika kutibu athari za dawa za kulevya kwa vijana, huku ikihakikisha wanakuwa nguvu kazi yenye tija kwa maendeleo ya taifa baada ya urekebishaji wa tabia na afya zao. Powered by #MCHEZOSUPA JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA: - Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M - Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV. #ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania #Follow @itvtz @radioonetanzania @capitaldigitaltanzania.Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ; Subscribe to our Youtube Channel : http://bit.ly/itvtanzania Facebook : https://bit.ly/2KeQNl3 Twitter : https://bit.ly/2XG7aii Instagram : https://bit.ly/34KItmg