У нас вы можете посмотреть бесплатно USHAIRI- UHURU WA MSHAIRI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
📘 LIVE: Somo la “Uhuru wa Mshairi” – Ulingo wa Kiswahili Karibu kwenye kipindi chetu cha leo ambapo tutachambua kwa undani maana ya uhuru wa mshairi, aina zake, umuhimu wake katika uandishi wa mashairi, na mifano ya jinsi washairi hutumia uhuru huu kuwasilisha ujumbe wao kwa ubunifu. Katika kipindi hiki utajifunza: ✔️ Maana ya uhuru wa mshairi ✔️ Mambo anayoweza kufanya mshairi kupanua ubunifu ✔️ Mifano kutoka mashairi mbalimbali ✔️ Jinsi ya kuwafunza wanafunzi dhana hii kwa urahisi Jiunge nasi LIVE na uboreshe uelewa wako wa fasihi simulizi na andishi. 📍 Channel: Ulingo wa Kiswahili 📞 Contact: 0741523603 #Tags #UlingoWaKiswahili #UhuruWaMshairi #SomolaKiswahili #KiswahiliLive #Mashairi #Fasihi #FasihiAndishi #KiswahiliMwalimu #KiswahiliRevision #KiswahiliLesson #KenyaEducation #LearningKiswahili #LivestreamKiswahili