У нас вы можете посмотреть бесплатно MJUE MAREHEMU PROF. MWENISONGOLE, ASKOFU ALIYEACHA KAZI BENKI NA KUWA MCHUNGAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mtoto wa Marehemu Prof. Ranwell Mwenichongole aliyekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assembles Of God (TAG), George Mwenisongole ambaye ni Mbunge wa Mbozi, mkoani Songwe amesema marehemu Baba yake aliacha kazi ya umeneja wa benki na kuanza kazi ya uchungaji mara baada kumpenda mtoto wa mchungaji aliyekuwa TAG, wakati huo Askofu Mwenisongole akiwa Moravian. Akisoma wasifu wa Prof. Mwenisongole jijini Dar es Salaam katika ibada ya kuaga mwili wake, George amesema Baba yake aliajiriwa katika benki ya taifa ya biashara na ndani ya miaka mitano alifikia cheo cha meneja, lakini ilipofika mwaka 1978 aliamua kuandika barua ya kuachia nafasi hiyo ya umeneja na kuokoka na kuwa Mchungaji, na alianza shughuli hiyo akiwa na washirika wanne. MJUE MAREHEMU PROF. MWENISONGOLE, ASKOFU ALIYEACHA KAZI BENKI NA KUWA MCHUNGAJI WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm