У нас вы можете посмотреть бесплатно VIDEO: MAAGIZO YA WAZIRI BASHUNGWA KWA MKUU WA JESHI LA POLISI, IGP WAMBURA KUELEKEA SIKUKUU или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, kulisimamia Jeshi la hilo kufanya ukaguzi wa vyombo vya moto barabarani, kuimarisha doria (highway patrol) usiku na mchana pamoja na kuimarisha ulinzi kwenye Nyumba za Ibada katika kipindi cha sikukuu za Christmass na Mwaka Mpya. Bashungwa ametoa maagizo hayo, wakati akitoa taarifa kwa Umma kuelekea Sikukuu za Mwisho wa Mwaka ambapo amewahakikishia wananchi na Watanzania wote kuwa nchi iko salama. “Hatuko tayari kuacha tabia za kizembe ziendelee kupoteza maisha ya watu, na wengine kupata ulemavu, huku Sheria za kudhibiti uzembe zikiwa zipo. Tutachukua hatua kali kwa madereva na wasafarishaji wazembe. Ninaomba wasafiri mtupe ushirikiano, na kuunga mkono jitihada hizi, ili tuwe salama tunapokuwa barabarani”amesema Bashungwa.