У нас вы можете посмотреть бесплатно MAPYA YAIBUKA 'MAFURIKO KUIKIMBIA' CHADEMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MOROGORO: ZAIDI ya wanachama 200 wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA akiwemo Mwenyekiti wa chama hicho kanda ya kati DEVOTHA MINJA ametangaza kujiondoa ndani ya chama hicho akisema "Aluta kontinua hakuna kushusha silaha chini,Mapanbano yaendelee. Minja ametangaza uamuzi huo leo Alhamisi,Mei 15 katika mkutano wake na waandishi wa habari wa Mkoa wa Morogoro akiwa ameambatana na baadhi ya wanachama ambapo amesema uamuzi huo ameuchukua bila kushinikizwa na mtu. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09