У нас вы можете посмотреть бесплатно Mwigulu Nchemba Amlipua Mpina I Amesma Mpina Anafurahia Akiona Watu Wanaumia или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Fedha na Mipango amesema kuwa Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aliwataka waache utaratibu kufungia Bishara au shughuli za uzalishaji lakini ameshangazwa na Mbunge wa Kisesa Mhe. Mpina Luhaga ambaye anaona jambo hilo halina maana kwa sababu yeye anafurahia akiona watu wakiumia Mhe. Dkt. Mwigulu amesema kuwa Mhe. Mpina anaona jambo hilo la Mama kama halina maana kwa sababu anafurahia akiona watu wanateseka ndio maana wakati alipokuwa Waziri alikuwa anachoma nyavu za Wavuvi na kufunga viwanda. Endelea kuperuzi kurasa za zetu za mitandao ya kijamii na kutembelea akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media” ili upate updates zote za Bunge. #KutokaBungeni #7bisha #CloudsDigitalUpdates