У нас вы можете посмотреть бесплатно HATUA NA JINSI YA KUANDAA MPANGO MKAKATI WA KUTIMIZA MALENGO YAKO| SMART | James Atilio или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
HABARI, Karibu kwenye video hii ya leo ambayo nimeshare na wewe hatua kuhusu jinsi ya kupanga malengo kwa ufanisi. Katika video hii, nitakuelekeza hatua 6 muhimu za kuzingatia unapopanga malengo yako na kuandaa mpango wa utekelezaji. Ikiwa unataka kufanikisha malengo yako na kuboresha maisha yako, hii ni video unayohitaji Mambo Muhimu: 1. Jinsi ya kuweka malengo yaliyo wazi na yenye maana 2. Umuhimu wa kuwa na vipimo vya maendeleo ili kufuatilia mafanikio yako 3. Kuhakikisha malengo yako ni ya kweli na yanaweza kufikiwa 4. Kuweka malengo yanayoendana na maisha yako na matarajio yako 5. Kuweka muda maalum wa kufikia malengo yako ili kuongeza motisha 6. Mwongozo wa hatua kwa hatua wa kuunda mpango madhubuti wa utekelezaji Kwanini Utazame Video Hii? 1. Kujifunza misingi ya kupanga malengo kwa ufanisi 2. Kupata mbinu za kufanikisha malengo yako 3. Kupata motisha ya kuanza safari yako ya mafanikio Jiunge katika familia ya kujifunza na kuboresha maisha yetu Usisahau ku-like video hii, ku-share na marafiki zako, na ku-subscribe kwenye channel kwa video zaidi ya kuhamasisha na kuelimisha. Pia, niache maoni yako hapo chini na niambie ni hatua gani unazopanga kutumia katika kupanga malengo yako. Gusa alama ya kengele notification ili usipitwe na video mpya! #KupangaMalengo #Mafanikio #MpangoWaUtekelezaji #Maendeleo #Motisha