У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR AINGIA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UONGOZI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwanachama wa Chama cha ACT-WAZALENDO Othman Masoud Othman amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Zanzibar huku akieleza malengo ya kutaka nafasi hiyo ni kuendeleza nguvu ya kusimamia na kukiimarisha chama hicho Othman Masoud amefika katika ofisi ya Chama cha ACT WAZALENDO Vuga Mjini Zanzibar majira ya saa 04:00 za asubuhi ambapo alipofika hapo alipokelewa na shangwe kutoka kwa Wananchama wa chama hicho na baadae kukabidhiwa rasmi fomu ya kugombea nafasi hiyo na Mjumbe wa kamati ya Uchaguzi Muhene Said Rashid baada ya kukidhi vigezo vya kugombea nafasi hiyo MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR AINGIA KWENYE KINYANG’ANYIRO CHA UONGOZI WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm TWITTER: / wasafitv || / wasafifm FACEBOOK: / wasafitv 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm