У нас вы можете посмотреть бесплатно Jinsi ya kuita Jini | Aina ya tatu | Kupata Utakacho | Dini yoyote | Jinsi ya kupata Utajiri или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika video hii utajifunza aina nyingine ya kuita jini na utaweza kuita jini kulingana na imani yoyote uliyonayo. Majini ni nini? Majini ni viumbe ambao wameumbwa kwa Moto na walikuwa wakiishi duniani kabla ya binadamu miaka Milioni nyingi iliyopita. Viumbe hawa wana tabia kubwa mbili; 1. Kama walivyo binadamu:- Yaani ya kibinadamu kwa maana wanakuwa wanafanya mapenzi, wanazaa na wanakufa n.k. 2. Kimalaika ambayo ni kwamba wana uwezo wa kujigeuza katika umbo lolote wanalotaka na vile vile wanaruka na kwenda wanakotaka au kupita wanakotaka bila kutumia chombo chochote. Taifa la Majini limegawanyika katika makabila Milioni Sabini na mbili (72,000,000) na hata mengine yakiendelea kuzaliana, wana uwezo wa kujifunza lugha yeyote wanaoitaka. Idadi ya Majini tunaweza kukadiria kuwa ni kila Binadamu mmoja kuna Majini 365 sawa na idadi ya mwanadamu mmoja na wanaishi katika Majumba yetu, kwenye Miti, Majangwani, Kwenye Mapango na Sehemu zenye Misitu Mikubwa, Baharini na vyanzo vinginevyo. Majini wako katika aina kuu Mbili (2); Walioamini uwezo wa Mungu na Waliokufuru. Walioamini ni Majini wema ambao wanamtii Mwenyezi Mungu na wanawasaidia Binadamu katika mambo mengi. Waliokufuru ni Majini Waovu ambao ni wakorofi na wanawaletea Watu madhara na Matatizo mara kwa mara. Baba wa Majini anaitwa JANN ambaye kimaumbile yeye ana tofauti ndogo na wenzie kwamba yeye ameumbwa kwa ulimi wa Moto. Pamoja na mambo mengi wanayoyafanya Majini na kujihusisha na binadamu, Majini vilevile wanafanya kazi za Malaika hasa zile za mambo ya kupeleka Habari na kuwalinda Binadamu, mambo ya doria za Angani. Kazi hizi siyo zao lakini kwa vile wanapenda kuiga mambo basi huiga hata kazi ambazo siyo zao. Majini na Binadamu wana sifa zinazofanana kwani wote wana akili na wote watahesabiwa siku ya Kiama na watazawadiwa kwa mema yao na maovu yao, wote wanakula na kuzaa. Kama ilivyo, kuna wataalamu wa Kijini wenye fani sawa na Wataalamu wa Kibinadamu wenye kufanya kazi zinazofanana. Tofauti kubwa iliyopo kati ya Majini na Binadamu ni kwamba; Majini hawana maumbile maalum na wana uwezo wa kujibadilisha katika maumbile mbalimbali ingawa wengi wa Majini wapo katika maumbile ya mbwa, nyoka na ndege. Binadamu wao wana umbile maalum ambalo halibadiliki. Majini wana uwezo wa kuwaingia Binadamu wakati Binadamu hawana uwezo wa kuwaona Majini isipokuwa kwa ufundi maalum. Katika video hizi za njia tofauti tofauti utajifunza njia na taratibu tofauti tofauti za kuita majini. Ni matumaini yangu ikiwa mtu unachangamoto au shida yoyote katika maisha ambayo unahisi huna uwezo wa kuifanikisha isipokuwa kwa njia ya ziada basi karibu kwa kujisaidia mwenyewe. Kwa msaada zaidi pia unaweza kutuandikia katika comment ikiwa ni swali unalo au hoja ya kuhusu viumbe hawa na ungependa kupata majibu ya kina basi usisite kuuliza tutakupatia majibu. Hizi ni njia ambazo ni salama kabisa na zimeshajaribu na wengi na ikiwa unahitaji kufanya basi fanya na uweze kupata matokeo, Watu wengi huongea vitu ambavyo hawavijui na kufundisha mambo ambayo hayawaelewi. Basi ikiwa utajifunza na kuzifanyia kazi njia hizi basi jua kabisa ni mtu ambaye umethubutu kwa namna moja au nyingine, Tangu kuanza kuwekwa video hizi hadi leo basi unaweza kuona ni mangapi kwa watu wengi wameweza kufanya na kufanikiwa kwa naona moja au nyingine. Jinsi ya kuita jini 1; https://www.youtube.com/watch?v=g0BvX... Jinsi ya kuita jini 2; https://www.youtube.com/watch?v=In-ZF... Jinsi ya kuita jini 3; • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya tatu | Kupat... Jinsi ya kuita jini 4: • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya nne | Kupata... Jinsi ya kuita jini 5: • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Tano | Kupat... Jinsi ya kuita jini 6: • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Sita | Kupat... Jinsi ya kuita jini 7: • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya sita | Kupat... Jinsi ya kuita jini 8: • Jinsi ya kuita Jini | Aina ya Saba | Kupat... Jinsi ya kuita jini 9: • Jinsi ya kuita Jini | Kupata Utakacho | Di... Jinsi ya kurudisha majini 10: • Jinsi ya kurudisha Jini | Jini yoyote baad... Jinsi ya kuita majini (FULL COURSE) Phase 1 • Видео WALIOJARIBU KUITA MAJINI Jinsi ya kuita jini (Feedback) 1 • Matokeo ya Aliyeita Jini Sal Sal Jinsi ya kuita jini (Feedback) 2 • Aliyeita jini Salsal 2 Jinsi ya kuita jini (Feedback) 3 • Jinsi ya kuita MAJINI | Uthibitisho wa kui... Jinsi ya kuita jini (Feedback) 4 • Jinsi ya kuita Jini (Feedback) Jinsi ya kuita jini (Feedback) 5 • Jinsi ya kuita Jini aina ya 10 (Baharini &... ╔═╦╗╔╦╗╔═╦═╦╦╦╦╗╔═╗ ║╚╣║║║╚╣╚╣╔╣╔╣║╚╣═╣ ╠╗║╚╝║║╠╗║╚╣║║║║║═╣ ╚═╩══╩═╩═╩═╩╝╚╩═╩═╝ Join! ======================================== FACEBOOK / / 61566429091668 INSTAGRAM / / rakimsspiritual TIKTOK / / rakimsspiritual X / https://x.com/rakimsspiritual/ WHATSAPP / https://api.whatsapp.com/message/VSDC... ======== Rakims Spiritual: https://www.Unajimu.com/