• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 скачать в хорошем качестве

Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Kajala Winfrida Masanja ndo jina lake alipopewa na Mama yake kipenzi alipozaliwa. Mama ambaye alikua akilitumikia jeshi la Polisi Tanzania miaka ya nyuma, ambaye alihakikisha binti yake huyu anakua katika maadili yaliyo bora na nidhamu yake iwe ya hali ya juu. So nini haswa kilitokea mpaka akawa si mtoto mzuri yule ambaye Mama alifanya kila aliwezalo kuhakikisha anakua hivyo miaka ya nyuma? Sasa ni Mama na mfanyabiashara anayejielewa tu. Ila yepi haswa ambayo yalishawahi kutokea kwenye maisha yake na ambayo hajivunii hata kidogo? Mimi na K tunafahamiana miaka mingi sana, mara ya kwanza tulikuna kwenye michezo, kwenye uwanja wa basketball wa Pazi pale Drive In enzi hizo, skuizi nadhani panaitwa Ubalozi maana ni mkabala kabisa na ubalozi wa Marekani na uwanja umo ndani ya nyumba za Tanesco na sisi pia tulikua tukipaita hivyo. I remember alikua anakuja kucheza na sisi enzi hizo yeye anasoma Jitegemee nami nasoma Makongo Secondary School, hakua mchezaji mkaaali ila alikua na juhudi, na kwa mujibu wa maongezi yetu haya aliniambia ile pia ilikua ni moja ya njia zake za kutoka nyumbani na kupata kijihewa ivi, kwa kukutana na watu tofauti 😀. Sisi tulikua tukimshangaa kwa mitkasi yake mingi, alikua anatoka, yuko na marafiki ambao walikua wakubwa kuliko yeye na kama alikua na mambo mengi ivi. Ila huko ndo kukua sasa, maana unachojifunza wakati unafanya jambo ndo hapo unapoweza kujua kama ni zuri au baya na kama lina faida nawe au laa. Next thing I know Kajala ni mpenzi wa producer mataaata haswa enzi hizo ndani ya P-Funk na kwenye story zetu za humu amezungumzia hilo kwa urefu haswa, vile walivyokutana, alivyokua anakaa nae, reaction ya wazazi wake na waalimu shuleni na mahusioano yao mpaka yalipofika tamati. Jinsi ambavyo walikua wakiishi yeye na PFunk bila ya Mama yake Majani kujua kama mwanae anaishi na mwanafunzi ndani ya nyumba yake na mpaka akapata mimba bila ya yeye kujua. Paula alipozaliwa ndo mambo yakawa hadharani. Mapenzi yake na PFunk yalikua na mambo mengi ambayo niliyauliza kwenye episode hii ya 35, walikutanaje, waliendeleaje, wazazi, Paula na pengine watu wengine kuhusika na mapenzi yao hayo. Aliniambia mwisho wa siku ilibidi afanye liwezekanalo ili aweze kutoka humo na maisha yaendelee na akafanikiwa kukutana na mtu mwengine Ila na kwake naye mambo hayakua matamu kama ambavyo yalianza. Yaliisha kwa machozi na chuki ambayo anadhani iko upande wa pili zaidi maana kwake maisha yamesogea na maombi yake ya kuanza upya yamebarikiwa. Kajala amepitia mambo mengi kwenye maisha yake ambayo mengine anajivunia na mengine siyo hata kidogo. Kama kawaida, yangu matumaini utaokota mawili matatu humu na ambayo pia kama nia na madhumuni yatakufanya ushangae na kujifunza mwisho wa siku. Tafadhali enjoy! Love, Salama. Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown  

Comments
  • Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2 5 лет назад
    Salama Na KAJALA Ep 35 | JERAHA LA MOYO Part 2
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1 4 года назад
    Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1 3 года назад
    Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • WEMA SEPETU KAELEZA KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA 10 лет назад
    WEMA SEPETU KAELEZA KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA
    Опубликовано: 10 лет назад
  • BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW 10 месяцев назад
    BSS 2024 SE15 EP02 MWANZA | FULL SHOW
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • BEHIND THE GRAM EP 1 :  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EP 1 : MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : 3 года назад
    Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : "Nilitaka Kuwa Mwanasheria" | SALAMA NA ZUCHU PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • GIGY MONEY: NAHISI CHUMA CHA CHUMA ALITUMWA/SIKUKUTANA NAE TENA TANGU SIKU ILE/NITAENDA JELA/MAYRA 1 год назад
    GIGY MONEY: NAHISI CHUMA CHA CHUMA ALITUMWA/SIKUKUTANA NAE TENA TANGU SIKU ILE/NITAENDA JELA/MAYRA
    Опубликовано: 1 год назад
  • BEHIND THE GRAM EP 7:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EP 7: MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • BEHIND THE GRAM EP 8:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EP 8: MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1 5 лет назад
    Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • BEHIND THE GRAM EPISODE 5:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EPISODE 5: MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • BEHIND THE GRAM EP 1:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EP 1: MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Madam Rita Afunguka Asili Yake Na Alipozaliwa  3 года назад
    Madam Rita Afunguka Asili Yake Na Alipozaliwa "Nina Makabila Matatu" | SALAMA NA MADAM RITA PT 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • LIVE:🔴: SABABU ZA MZIZE KUTOKWENDA MOROCCO HIZI APA | YANGA , SIMBA WAPO TAYARI KLABU BINGWA
    LIVE:🔴: SABABU ZA MZIZE KUTOKWENDA MOROCCO HIZI APA | YANGA , SIMBA WAPO TAYARI KLABU BINGWA
    Опубликовано:
  • BEHIND THE GRAM EP 9:  MAISHA YA KAJALA NA PAULA 3 месяца назад
    BEHIND THE GRAM EP 9: MAISHA YA KAJALA NA PAULA
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1 5 лет назад
    Salama Na DR MWAKA Ep 37 | BINGWA Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • URAFIKI wa AALIYAH na ZUCHU umekufa sababu ya PENZI la DIAMOND? Kwanini alipotea? Afunguka yote 1 год назад
    URAFIKI wa AALIYAH na ZUCHU umekufa sababu ya PENZI la DIAMOND? Kwanini alipotea? Afunguka yote
    Опубликовано: 1 год назад
  • Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1 4 года назад
    Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI 2 месяца назад
    SALLAM SK : SAFARI YA MAISHA NA DIAMOND PLATNUMZ / UMILIKI WA RADIO/CHUKI /UWEZO WA KUFANYA KAZI
    Опубликовано: 2 месяца назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5