У нас вы можете посмотреть бесплатно WAMAASAI WATOA YA MOYONI KUHUSU MATUMIZI YA KONDOM – UKWELI ULIOFICHIKA! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#subscribe #newsupdate Ikiwa Dunia inaadhimisha siku ya Kondomu Duniani bado baadhi ya Wananchi wameeleza kutokuwa na uelewa wa matumizi sahihi ya Kondomu na hivyo kuiomba Serikali kuongeza nguvu katika kutoa elimu hiyo ili kujikinga huku ikielezwa kushuka kwa matumizi ya Kondomu nchini kwa asilimia tano. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya wananchi wa Jiji la Dodoma wanaeleza Akizungumza kwaniaba ya Mganga Mkuu wa Serikali,Kaimu Meneja Mpango wa Taifa wa kudhibiti Ukimwi NASHCop,Dk.Boniface Silvani amesema kuwa Serikali ya awamu ya sita inaendeleza juhudi za kutoa elimu ya kinga na suala la maadili kwa vijana ili wasiingie katika ngono wakiwa wadogo. Naye Mkuu wa Kitengo cha Kinga Wizara ya Afya,Zeye Nkomela amesema kuwa serikali imeweka mikakati kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma za kiafya bila vikwazo ili kutokomeza maambukizi mapya.