У нас вы можете посмотреть бесплатно WATUMISHI WA MKALAMA WASIMAMISHWA KAZI KWA TUHUMA ZA MATUMIZI MABAYA YA OFISI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#MichuziHabari #MichuziTV #KaziIendelee Watumishi wawili wa Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, mkoani Singida ambao ni Afisa Utumishi na Mhandisi wa Halmashauri hiyo wameelekezwa kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi na ubadhirifu wa fedha za miradi ya maendeleo. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Mhe. Reuben Kwagilwa (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe (Mb), wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya elimu na barabara wilayani humo. Imebainika kuwa baadhi ya vipimo vya ujenzi vilivyokuwa kwenye makisio ya gharama (BOQ) vilipunguzwa bila kufuata taratibu, jambo linalokiuka miongozo ya Serikali na kuonyesha uzembe mkubwa katika usimamizi wa miradi ya maendeleo. KWA HABARI MBALIMBALI TEMBELEA: http://issamichuzi.blogspot.com http://mtaakwamtaa.co.tz http://michuzijr.blogspot.com INSTAGRAM: / michuzitv_255 TWITTER: / michuziblog JE, UNA HABARI? TUTUMIEA KWA EMAIL HII ( michuzitv@gmail.com) Subscribe MICHUZI TV: / @michuzitv