У нас вы можете посмотреть бесплатно MWANI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MWANI MKAVU Chukua Mwanii kiasi kidogo tu , osha vizuri ( hakikisha ni safi harufu na michanga yote imetoka) osha zaidi za Mara 3 Loweka Unachanganya na ndimu ya tunda au limao inasaidia kukata shombo kama unavyoandaa samaki wabichi, kisha loweka mwani wako na maji masafi, utaanza kuumuka kwa mda kuanzia masaa 12….. na kuendelea mpaka uwe Laini vizuri Kisha Saga kwenye blender unaweza kuongeza tangawizi na matunda unayotaka wewe, ukipenda lkn sio lazima, Saga dk kadhaa utapata (GEL) kiasi Cha maji kadiria gel iwe kama uji mzito hifadhi vizuri kwenye fridge tayar kwa matumizi. Unaweza kuchanganya kwenye mlo wako kama vile :supu, juice, kachumbari , Maji , uji, mtori na chakula kingine chechote cha moto n.k lakin pia unaweza kutumia fresh bila kuchanganya kwenywe chakula ni Sawa pia.