У нас вы можете посмотреть бесплатно SIMERA:TULIMTEKA KABLA YA SAFARI/WENZANGU WAMEKUFA/CHINI YA MELI/MEXICO,BRAZIL VITA YA RISASI.... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Jamuna baharia wa kitanzania aliyesafiri na kuzunguka katika mataifa mbalimbali duniani, amepitia magumu ya kutisha na ya kufurahisha, Jamuna anakuwa miongoni mwa vijana wengi wa kitanzania, waliyowahi kuondoka nchini na kukimbilia mataifa ya ughaibuni , kwa ndoto za kwenda kutafuta maisha. Kumbukumbu ya safari yake inaanzia mwanzoni mwa mwaka 1992, akiondoka na baadhi ya vijana wenzake kutoka mitaa ya Kinondoni na kuingia mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kwa kuuvuka mto Ruvuma, Safari ya kuzamia meli katika bandari ya jiji na Maputo-Msumbiji, na mpaka kuingia katika mataifa kama Brazil, Mexico, Paraguay, Argentina, na Mengine mengi na huko ndipo aliposhuhudia mambo ya kutisha katika maisha yake......KARIBU KENYE MBANGA UPATE MKASA HUU KWA UNDANI Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali. JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786 ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ Website: www.dar24.com ⚫️ Instagram: @Dar24news ⚫️ Facebook: @dar24 ⚫️ Twitter: @Dar24News #mbanga #baharia #dupamdupange