У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Jioni | Oktoba 16, 2025 | Swahili Habari или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Yaliyomo kwenye DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Leo Jioni | Oktoba 16, 2025 | Swahili Habari: Maelfu ya Wakenya wajitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati waziri mkuu wa zamani Raila Odinga katika uwanja wa michezo wa kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi. Rwanda yachapisha majina ya watu 25 ambao imewataja kuwa magaidi wa taifa. Wakaazi wa mkoa wa Mtwara, kusini mwa Tanzania wakosoa mwenendo wa kampeni za uchaguzi wakisema zimekuwa mbali na changamoto halisi wanazokabiliana nazo. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.