У нас вы можете посмотреть бесплатно Balozi wa Iran nchini asema Mashambulizi ya Irani dhidi ya Israel hayatafika nchini или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Balozi wa Iran hapa nchini Kenya Ali Gholampour amewahakikishia wakenya mashambulizi ya Irani dhidi ya Israel na Marekani hayatafikia nchni. Akizungumza na wanahabari Jijini Nairobi, Gholampour amesema kwamba vilipuzi vinavyotumiwa katika mashambulizi hayo vinafika umbali wa kilomita 2000 pekee. Vilevile ametetea mashambulizi yaliotekelezwa katika kambi za kijeshi za Marekani akisema kwamba ndio njia ya pekee ya kujipigania. Haya yanajiri wakati Rais Ruto akilaani mashambulizi hayo huku mzozo huo ukiendelea.