У нас вы можете посмотреть бесплатно JINSI JPM Alivyomwagia SIFA Mbunge wa NANYAMBA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
JPM Alivyomwagia SIFA Mbunge wa NANYAMBA Rais jpm amewataka wananchi wa mkoa wa mtwara Wilayani Nanyamba kufanya kazi kwa bidii ili kuweza kuzitumia vizuri barabara zinazoendelea kutengenezwa na serikali ya awamu ya tano mkoani humo. Rais magufuli ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa wilaya ya nanyamba mkoani humo katika muendelezo wa ziara yake ya kikazi kwa siku tatu mkoani humo. Aidha rais magufuli amesema kuwa serikali imeamua kupanua bandari pamoja na uwanja wa ndege wa mtwara kwaajili ya kuupanua mkoa huo kuwa na maendeleo yakibiashara, huku akitoa kasoro mbalimbali zinazoendelea kujitokea katika vyama vya ushirika mkoani humo. Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website:www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho