У нас вы можете посмотреть бесплатно WAWILI WAFARIKI DUNIA KWENYE AJALI MBILI TOFAUTI MOROGORO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wawili wamefariki dunia hapo hapo kufuatia ajari gari aina roli iliyotokea maeneo mawili tofauti ikiwemo msamvu Manispaa ya Morogoro na nanenae eneo la mzambarauni huku wakazi wa Morogoro wakiomba upanuzi wa barabara ya Morogoro -Dar-es-slaam kutokana na ajali za mara kwa mara. mashuhuda wa ajali hiyo wakiwemo madereva wa magari ya mizigo wamesema kuwa kutokana na ufinyu wa barabara unasababisha ajali za mara kwa mara huku waathirika wakuu wakiwa ni boda boda. Insert.....Azizi kapilima mkazi wa Morogoro Insert....Agrey mwakipesile dereva Insert...... Martin Idd dereva boda boda Kwa upande wake kaimu afisa uhusiano kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro Scolastika Ndumba amethibitisha kupokelewa kwa mihili hiyo na tayali imehifadhiwa hospitalini hapo. Insert...... Scolastika Ndumba kaimu afisa uhusiano kutoka hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro.