У нас вы можете посмотреть бесплатно Muonekano wa NDANI wa NDEGE Mpya (Boeing 787 - 8) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Muonekano wa NDANI wa NDEGE Mpya (Boeing 787 - 8) Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Julai 08, 2018 ameongoza mapokezi ya ndege mpya iliyonunuliwa na Serikali kwa ajili ya kuimarisha Shirika la Ndege la Taifa (ATCL). Ndege hiyo itatua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam saa 11:10 jioni. Ndege hiyo ni ya nne kununuliwa na serikali ya Tanzania na ina uwezo wa kubeba watu 262. Hafla ya kuipokea ndege hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na kwa upande wa Wasanii wamehudhuria Steve Nyerere na JB kutoka Bongo Muvi. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli