У нас вы можете посмотреть бесплатно Viongozi wa UDA mlimani wafoka kufuatia matamshi ya Oburu kuhusu kiti cha naibu wa rais или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kauli ya kinara wa ODM Dkt. Oburu Oginga kuwa chungwa linalenga kiti cha naibu rais kwenye uchaguzi MKUU MWAKA ujao, imewagusa pabaya viongozi wa UDA, haswa kutoka maeneo ya Mlima Kenya. Viongozi hao wamesema kamwe hawatakubali kumsulubisha Profesa Kithure Kindiki kwa kutafuta uungwaji mkono na ODM. Na kama anavyoarifu Melita Oletenges, Viongozi hao wanasisitiza kuwa wana imani na Kindiki kuendelea kuhifadhi kiti hicho kwenye kinyang'anyiro kijacho.