• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 скачать в хорошем качестве

Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 5 лет назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 1

#YAHStoneTown #SalamaNa #PodCast Listen our Podcast on ‪Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcasts Link https://apple.co/2Ou1bru‬ ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa NGOSHA WA MBASA Nakumbuka kipindi ambacho Fidi alikua anaamini kabisa kama kuweka ‘uso wa mbuzi’ ndo kulikua kunakufanya uwe ‘hard core’, sina uhakika lini aliachana na dhana hiyo ila kwa kipindi cha miaka miwili au zaidi tabasamu na bashasha vimekua havibanduki kwenye uso wake, jambo ambalo mimi kama rafiki nalifurahia sana. Nakumbuka baadhi ya marafiki zangu wa kike ambao ni wapenzi haswa wa mziki wake walikua wakiniambia eh, sema rafiki yako mgumu jamani, Kha! Mi hucheka tu na baadae wakishazoeana basi sidhani kama kuna hata mmoja anaweza kusema kitu kibaya kuhusu yeye. Nilikua nacheka kwasababu mimi naamini namfahamu rafiki yangu huyu, yeye hupenda sana matani, na kucheka na marafiki wa karibu wanaweza wakathibitisha hilo maana katika watu ambao unaweza ukawatania weeee mpaka asubuhi, na utani mpaka wa vitu vyengine ambavyo wewe wa karibu unaweza kusema ey, hiyo sasa imepitiliza, yeye waala... Atacheka tu! Mwenye kipaji chake cha kujifunza mwenyewe, nasema hivyo kwasababu nadhani kufahamiana kwetu na kuelewana kwetu pia kunatokana na kuwa na vitu vinavyofanana ndani yetu. Kajifunza jinsi ya kupenda kusoma vitabu mwenyewe, kujifunza jinsi ya kuandika na kurap mwenyewe, kajiendeleza mwenyewe (bila ya shaka kuna watu walomsaidia kwa tafu za hapa na pale ila walitokea baada ya kuona jitihada zake). Alihakikisha anasafiri kwenda nje ya nchi na Africa kwa jitihada zake mwenyewe na mpaka leo, kukiitwa watu ambao wamesaidia kwa kiasi kikubwa kufikisha Hip Hop ya nyumbani hapa ilipo basi jina lake litakua ni miungoni ya yale yatakayopata heshima ya juu kabisa. Pia anachekesha sana. Uelewa wake wa baadhi ya vitu unaweza ukakuacha mdomo wazi wakati mwengine. Kwenye uwepo wake? Vicheko lazima vitawale. Hii siku nilitia nae story haikua kama kazi, bali kama mtu na rafikiye tu wakitia story juu ya njia za maisha ambazo tumepitia mpaka sasa. Fidi amekuzwa na Mama yake ambae alikua ni mfanyakazi wa serikalini (ameshastaafu), alikulia mkoani kama wengi wetu, alifika Dar akakaa kwa ndugu kama wengi wetu, alianzia sehemu na kutoka hapo mdogomdogo akajijenga kufikia hapa alipo. Humu tumeongelea hayo, watoto, muziki, ndoa, maisha ya wasanii na maendeleo kwa ujumla. Yangu matumaini uta enjoy na kuelewa baadhi ya vitu zaidi na zaidi. Here’s to Ngosha wa Mbasa. Love, Salama. Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown  

Comments
  • Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 2 5 лет назад
    Salama Na Fid Q Ep 7 | NGOSHA WA MBASA Part 2
    Опубликовано: 5 лет назад
  • Idris Sultan afunguka alivyopoteza TZS Bil 1.5 mwaka 2020, 2022 kuwa staa anayeingiza mkwanja mrefu 2 года назад
    Idris Sultan afunguka alivyopoteza TZS Bil 1.5 mwaka 2020, 2022 kuwa staa anayeingiza mkwanja mrefu
    Опубликовано: 2 года назад
  • Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1 4 года назад
    Salama Na SUGU Ep 50 | UJIO WA UMRI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final) 1 год назад
    AFANDE SELE - Ana Akili Nyingi Sana | Msikilize Humu | Utaenjoy! - Part 6 (Final)
    Опубликовано: 1 год назад
  • FID Q AMJIBU RADO KWA MARA YA KWANZA KWA MISTARI LIVE BAADA YA MIAKA 17...... THE CLASSIC  FIDQ EP 2 7 месяцев назад
    FID Q AMJIBU RADO KWA MARA YA KWANZA KWA MISTARI LIVE BAADA YA MIAKA 17...... THE CLASSIC FIDQ EP 2
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa 3 недели назад
    Story ya Baharia Evance Massawe aliyofanyiwa na Masoud Kipanya na CZA nchini South Africa
    Опубликовано: 3 недели назад
  • Itakuliza: Roma asimulia alivyosafiri na abiria aliyefia njiani, safari ilivyokuwa na misukosuko 5 лет назад
    Itakuliza: Roma asimulia alivyosafiri na abiria aliyefia njiani, safari ilivyokuwa na misukosuko
    Опубликовано: 5 лет назад
  • FULL INTERVIEW: Kama hakuna mwanaume wa maana na mwanamke wa maana hakuna | Dk. Elly 9 месяцев назад
    FULL INTERVIEW: Kama hakuna mwanaume wa maana na mwanamke wa maana hakuna | Dk. Elly
    Опубликовано: 9 месяцев назад
  • Mkasi | SO9E02 with Fareed Kubanda (Fid Q) Extended Show 11 лет назад
    Mkasi | SO9E02 with Fareed Kubanda (Fid Q) Extended Show
    Опубликовано: 11 лет назад
  • Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka (Official Audio) 7 лет назад
    Fid Q Ft Matonya - Usinikubali Haraka (Official Audio)
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 1 5 лет назад
    Salama Na Madee Ep 18 | MPAKA MSHALE Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • THE CLASSIC JAY MOE : MAISHA YA JAY MOE KABLA YA WATEULE/WABAKIAJI/MWANZO WA WATEULE/USHINDANI/PFUNK 1 год назад
    THE CLASSIC JAY MOE : MAISHA YA JAY MOE KABLA YA WATEULE/WABAKIAJI/MWANZO WA WATEULE/USHINDANI/PFUNK
    Опубликовано: 1 год назад
  • EXCLUSIVE NA OMMY DIMPOZ: KUFUKUZWA NA GSM / BIFU NA DIAMOND / UKARIBU NA RAIS SAMIA 2 месяца назад
    EXCLUSIVE NA OMMY DIMPOZ: KUFUKUZWA NA GSM / BIFU NA DIAMOND / UKARIBU NA RAIS SAMIA
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • CHIDI BENZ asimulia ALIKIBA alivyokuwa akiuza VITUMBUA ‘Ali K ni hustler, hakuna kama yeye – Part 2 1 год назад
    CHIDI BENZ asimulia ALIKIBA alivyokuwa akiuza VITUMBUA ‘Ali K ni hustler, hakuna kama yeye – Part 2
    Опубликовано: 1 год назад
  • Mbarikiwa ainasa clip ya Mc pilipili ambayo inaweza ikawa ilisababisha auawe. 5 часов назад
    Mbarikiwa ainasa clip ya Mc pilipili ambayo inaweza ikawa ilisababisha auawe.
    Опубликовано: 5 часов назад
  • NIKKI MBISHI : MIMI na MAJANI hatuna Tatizo Labda Yeye ndio Anatatizo na Mimi/Twitter Wajinga wengi. 2 года назад
    NIKKI MBISHI : MIMI na MAJANI hatuna Tatizo Labda Yeye ndio Anatatizo na Mimi/Twitter Wajinga wengi.
    Опубликовано: 2 года назад
  • STAMINA: Трансляция закончилась 5 лет назад
    STAMINA: "KUNA MUDA NILIKUWA SITAMANI KULALA NAYE KITANDANI, SABABU NAJUA ALICHOTOKA KUFANYA."
    Опубликовано: Трансляция закончилась 5 лет назад
  • Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1 3 года назад
    Zembwela Afunguka Ukweli Wote Mpaka Kuacha Kazi East Africa | SALAMA NA ZEMBWELA PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • THE CLASSIC FID Q : MIMI NI BABA WA MA-GOAT /MASTER JAY ALINIPOTEZEA 7 месяцев назад
    THE CLASSIC FID Q : MIMI NI BABA WA MA-GOAT /MASTER JAY ALINIPOTEZEA
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa 1 год назад
    Sitaki kua tajiri, nataka kufanikiwa
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5