У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUTANO WA INJILI, Shambarai, MANYARA | By Prophetess Glory Mmbaga. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Huu ni mkutano wa injili uliofanyika kata ya SHAMBARAI na Nabii Glory Mmbaga, ikiwa ni mara ya kwanza kwenda huko kuihubiri injili ya Bwana Yesu. Kwa kweli haikuwa rahisi lakini kwa mkono wa Bwana, ishara, maajabu na miujiza vilitendeka. Wengi walifunguliwa na kuwekwa huru, wagonjwa waliponywa, watoto walifunguliwa, watu waliwekwa huru kiroho mbali na kuonewa, na kwa hakika hata wengine waliokoka katika mkutano huo uliofanyika ndani ya siku 7. Karibu sana kwenye huduma hii ya kinabii, ambapo Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kukuhudumia wewe mtu wa Mungu. Amen 🙏🙏 Here at Upatanisho International Church, we spreading the word of God to all people of all religions and tribes all over across the world. ======================================= Follow us on:👇 Facebook: Upatanisho international church Instagram: Upatanishochurchtz Twitter (X): Upatanishointernationalchurch TikTok: upatanisho international church Threads: Upatanishochurchtz YouTube: upatanisho international church WhatsApp channel: Upatanisho International church ministry WhatsApp No: 0752050787 Call: 0752050787/ 0756 971 172/ 0755836964/ 0757205201 Subscribe our YouTube Channel. ⚠️ Like, comment, share and subscribe