У нас вы можете посмотреть бесплатно Hadithi ya Shujaa Will na Genie | Hadithi Za Kiswahili Mpya 2020 | kiSwahili Fairy Tales или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hadithi ya Shujaa Will na Genie | Brave Will and Genie Story in Swahili | Katuni za Kiswahili | Hadithi za Kiswahili za Watoto | Swahili Fairy Tales NEW Kulikuwa na kijiji chenye mazao na watu wazuri. Kwenye kijiji hicho kulikuwa na mvulana mdogo mwenye umri wa miaka sita aliyeitwa Will. Alikuwa mwema, mwenye busara na wa kujali sana Wazazi wake na walimu walijivunia kuwa na mvulana mwenye tabia nzuri na busara. Will alikuwa na rafiki aliyeitwa Jack. Will na Jack walithaminiwa na wazazi wao kwa sababu ya urafiki wao. Walienda shuleni pamoja na kurudi. Kama kila siku Will na Jack walikuwa wakirudi toka shuleni Walifika nyumbani, kwa akina Jack na Will: Kwaheri Jack! Tutaonana kesho. Will aliendelea kutembea kuelekea kwao huku akiimba wimbo wake anaoupenda sana. Please Subscribe for more videos and stories like this: http://www.youtube.com/c/EdewcateSwah... #HadithizaKiswahili #SwahiliFairyTales