У нас вы можете посмотреть бесплатно Jipime Ukimwi Kwa Video Hii : Dalili za Ukimwi/ Hauhitaji Kipimo или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unajua unaweza kugundua dalili za HIV hata kabla ya kupima? Katika video hii, Dk. Daniel anakueleza hatua 4 za HIV kulingana na WHO kwa lugha rahisi na isiyo na maneno magumu ya kitabibu. Tutazungumzia: ✅ Hatua ya kwanza – dalili hazionekani au uvimbe wa tezi (lymph nodes) shingoni, kwapani au kwenye kinena ✅ Hatua ya pili – dalili ndogo kama kupungua uzito, vipele, fangasi, uchovu wa mara kwa mara ✅ Hatua ya tatu – kuharisha kwa muda mrefu, kikohozi kisichopona, jasho la usiku, kupungua uzito sana ✅ Hatua ya nne – magonjwa makubwa kama TB, saratani fulani, maambukizi sugu 💡 Kumbuka: Kupima mapema na kuanza tiba haraka husaidia kuepuka hatua za mwisho na kuishi maisha marefu na yenye afya. 📌 Chukua hatua leo – kama umekuwa na dalili zisizoelezeka kwa muda mrefu, nenda kapime. --- #HIV #Ukimwi #WHO #daniel #danthedoc #drdaniel #Afya #DaliliZaHIV #KingaDHidiYaHIV #TibaYaHIV #ElimuYaAfya #VCT #KingaAfya #AfyaYako #KingaNaTiba #MaishaBilaHIV #DaliliZaUkimwi #ElimuHIV