У нас вы можете посмотреть бесплатно RAIS KIM JONG UN WA KOREA KASKAZINI AVUNJA UKIMYA SAKATA LA VITA VYA NYUKLIA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
kiongozi mkuu wa korea kaskazini na rais wa taifa hilo kim jong un ameibuka ghafla na kauli iliyoushtua ulimwengu akijinadi kwa nay eye ni mzalishaji mzuri wa nyuklia hivyo marekani inapaswa kuwa macho na chukua tahaadhali kubwa juu ya kile ameita undumi la kuwili anaoutekeleza baina yake na korea kusini. Kauli hiyo tata na ya kujihumi kim ameitoa wakati akiwa katika gwaride maalum la kijeshi lililoshuhudiwa mjini pyoyang huku kim akilisifu jeshi lake kwa ushupavu na uwezo mkubwa unaoweza kumkabili adui saa na muda wowote. rais Kim Jong Un katika hotuba yake hiyo iliyosikilizwa kwa utulivu na hamasa kuu mbele ya wanahabari amesema kwamba nchi yake yenye silaha za nyuklia inaweza "kuiangamiza kabisa" Korea Kusini ikiwa usalama wake utadhoofishwa kwa vitisho vya marekani akisisitiza kukataa kwake kushirikiana na korea kusini kufuatia hilo vyombo vya habari vya serikali nchini korea kusini vimeripoti kuwa kim alitoa chance ya mlango wazi wa mazungumzo na Washington alipohitimisha mkutano mkuu wa chama tawala unaoelezea malengo yake ya sera kwa miaka mitano ijayo. Hata hivyo Shirika rasmi la Habari la Korea Kaskazini lilisema kwamba Kim pia alitangaza kubuni mifumo mipya ya silaha ili kuimarisha jeshi lake lenye silaha za nyuklia, ikiwa ni pamoja na makombora ya masafa marefu ya bara ambayo yanaweza kurushwa kutoka chini ya maji na silaha nyingi za nyuklia, kama vile mizinga na makombora ya masafa mafupi , yanayolenga Korea Kusini. Wataalamu wanasema kwamba kuna uwezekano mkubwa mapigano ya kijeshi,baina ya mataifa hayo mawili huku kora ikiungwa mkono na silaha za nyuklia za Kim na uhusiano wake na Moscow na Beijing. Katoka mkutano huo, Kim alisema maendeleo ya kasi ya mpango wake wa nyuklia na makombora katika miaka ya hivi karibuni "yameimarisha kabisa" hadhi ya nchi hiyo kama taifa lenye silaha za nyuklia, akitoa wito kwa Marekani kuachana na kile anachokiona kama sera "za uadui" kuelekea Kaskazini ikiwa inataka kuanza tena mazungumzo yaliyosimama kwa muda mrefu. Wizara ya Muungano ya Korea Kusini katika taarifa yake ya mepema ilisema inasikitisha kwamba Kaskazini inaendelea kufafanua uhusiano kati yake Korea kama uadui na kwamba Seoul itaendeleza juhudi. Ikumbukwe kuwa hayo yote yanajiri wakati ambapo rai kim hivi karibuni,korea kaskazini imeunda na kufanya majaribio ya silaha nyingi ikiwa ni pamoja na makombora ICBM amifumo ya nyuklia ya kimkakati yenye uwezo wa kutengua makombora ya adui pamoja na silaha za hypersonic. usisahau kutufuatilia kwa kugusa alama ya kengere@yuhomatvmedia #habari #kimataifa #vita #michezo.