У нас вы можете посмотреть бесплатно BREAKING: Prof LIPUMBA Ashinda TENA Uenyekiti CUF, Afunguka Mazito! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
BREAKING: Prof LIPUMBA Ashinda TENA Uenyekiti CUF, Afunguka Mazito! BARAZA Kuu la Chama cha Wananchi (CUF) leo limewapitisha wanachama watatu wa chama hicho akiwamo Profesa Ibrahim Lipumba kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama hicho. Wagombea wengine nafasi ya uenyekiti ni Diana Daudi Simba na Zuberi Mwinyi Hamisi. Mkutano huo ambao ulifanyika katika ukumbi wa Lakem, Buguruni, jijini Dar es Salaam, umehudhuriwa na wajumbe 798. Naye Mkurugenzi wa habari wa CUF, Abdul Kambaya, amesema kinachoendelea ni kuchagua wajumbe watakaoshiriki uchaguzi huo. Kambaya amesema hali ya leo katika mkutano huo ilikuwa nzuri tofauti na ilivyokuwa jana. Pia amesema kutakuwepo na ulinzi wa askari ambao watakuwa wamevaa nguo za kiraia ili kuhakikisha hali ya usalama inakuwapo. CUF upande wa Lipumba, wanafanya uchaguzi huku kukiwa na mgogoro ambapo upande unaomsapoti Katibu Mkuu wa chama hicho wakipingana na mkutano huo kwa madai kwamba Lipumba hana uhalali wa kuwa mwenyekiti wa chama hicho tangu alipotangaza kujivua nafasi hiyo. Vilevile, mchakato huo umefanyika wakati chama hicho kikisubiri uamuzi wa Mahakama Kuu ambao unategemewa kumaliza mvutano wa muda mrefu baina ya pande hizo. Uamuzi huo ulioahirishwa kutolewa mwezi uliopita (Februari), unategemwa kutolewa mwezi huu. You May Like https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho