У нас вы можете посмотреть бесплатно #TAZAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri Mkuu amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ahakikishe anawasimamia viongozi wa wilaya ya Momba akiwemo mkuu wa wilaya hiyo wahamie katika kituo chao cha kazi badala ya kukaa Tunduma. Waziri Mkuu amesema lengo la Serikali la kuwapeleka watendaji wilayani humo ni kusogeza huduma za jamii karibu na makazi ya wananchi, hivyo ni vema wakaishi katika vituo vyao vya kazi ili kutimiza lengo hilo. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09