У нас вы можете посмотреть бесплатно DC LUSHOTO:MKUU WA WILAYA YA LUSHOTO MHE,ZEPHANIA SUMAYE AFANYA ZIARA KATIKA KATA YA MILINGANO: или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa wilaya ya lushoto Zephania sumaye amefanya ziara katika kata ya milingano jimbo la bumbuli wilaya ya lushoto mkoa wa Tanga. lengo la ziara yake ni kutoa muarobaini wa kero za wananchi kwa kuzitatua papo hapo,na kuwaelekeza wananchi watunze mazingira pamoja na kulima zao la parachichi ambalo kwa sasa ni zao la kimkakati kote nchini. Hata hivo mkuu huyo wa wilaya aliwapa wananchi wa kata,fulsa ya kueleza kero zao mbalimbali,ikiwemo kero ya kituo cha afya milingano ambacho wananchi wanalalamikia watumishi wa kituo hicho kwa kunyanyasa wananchi wanapoenda kutibiwa. Kufuatia malalamiko hayo mkuu wa wilaya katoa maelekezo kwa takukuru kua waende kufanya uchunguzi wa kina katika kituo hicho cha afya milingano,na mkuu huyo amekerwa sana na tuhuma hizo za watumishi hao kunyanyasa wananchi na tuhuma hizo zikibainika ni za ukweli hatua kali zichukuliwe,hiyo ni kauli ya mkuu wa wilaya....