У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 01. 03. 2.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hujambo na karibu katika Matangazo haya maalum mchana wa leo. miongoni mwa utakayoyasikia:- Maelfu wafurika mitaani Tehran wakiomboleza kifo cha Kiongozi wa Juu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei. Televisheni ya taifa ya Iran yaripoti kifo cha Mkuu wa Majeshi, Abdolrahim Mousavi aliyeuwawa katika shambulizi. Alikuwa miongoni mwa viongozi 30 wanaolengwa. Israel na Marekani zaendelea kuishambulia Iran katikati ya maombolezo ya kifo cha kiongozi wao Khamenei. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.