У нас вы можете посмотреть бесплатно KATAVI: BAJAJI INAYOTUMIKA kwa UHALIFU YANASWA, JESHI LATAJA MAUAJI ya WATU KUCHINJWA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#thekataviindependent || Jeshi la Polisi mkoani Katavi limefanikiwa kuikamata pikipiki ya magurudumu matatu 'Bajaji' aina ya TVS yenye namba MC643-DCE iliyokuwa inatumika kwa mauaji. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi ACP, Kaster Ngonyani amewaambia Wanahabari kuwa bajaji hiyo ilikuwa inatumiwa na wahalifu kuwatoa sehemu moja kwenda nyingine kutekeleza mauaji na kukimbia. Mbali na Bajaji hiyo, ACP Ngonyani amesema Jeshi la polisi mkoani Katavi linawashikilia watuhumiwa 13 waliokuwa wanajihusisha na mauaji hayo. Aidha ameongeza kuwa katika kipindi cha mwezi Oktoba pekee jumla ya watuhumiwa 196 wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakihusishwa na matukio mbalimbali