У нас вы можете посмотреть бесплатно WAMAMA WA MANISPAA YA SINGIDA WAMSHUKURU MHE DR. SAMIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa Manispaa ya Singida na maeneo ya jirani wameipongeza Serikali ya Awamu ya Sita kwa kuendelea kuboresha huduma za afya, hususan kupitia ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto katika Hospitali ya Manispaa ya Singida. Huduma za mama na mtonto zimehamia katika jengo jipya lililokamilika na kuanza kutoa huduma bora na kwa wakati kwa wananchi, hali iliyopunguza msongamano na kuongeza ufanisi wa matibabu. Serikali ilitoa Shilingi bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto, Jengo la Dharura pamoja na ukarabati wa jengo la upasuaji, hatua ambayo imeelezwa kuwa ni ya kupongezwa kwa kuwa inaleta unafuu mkubwa kwa wananchi.