У нас вы можете посмотреть бесплатно TANZANIA, TUCHUKUE SOMO KENYA, KATIBA MPYA INAANZAJE? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika mahojiano yetu ya #KatibaMpya na Booker Ngesa Omole, mwanaharakati wa kisiasa kutoka Kenya, tulizungumza kwa kina kuhusu mchango wa wanaharakati katika mapambano ya kupatikana kwa Katiba Mpya ya Kenya. Alieleza namna walivyoshiriki kwenye harakati hizo, kuanzia kuhamasisha wananchi, kuandaa mijadala ya umma, hadi kushinikiza serikali kupitia njia mbalimbali za ushawishi na ufuatiliaji wa uwajibikaji. Omole pia alisisitiza kuwa mchakato wa katiba ni mrefu na una hatua nyingi, akitumia mifano ya Kenya na Afrika Kusini kuonesha kuwa katiba mpya haipatikani kwa haraka, bali kwa kazi ya muda mrefu inayohitaji msukumo wa wananchi na uangalizi wa karibu. Kwa ujumla, mahojiano yanaangazia hasa nafasi ya vijana, vikundi vya uanaharakati, na youth wing katika kuongeza shinikizo la kisiasa na kijamii, shinikizo lililochangia kufungua njia ya mageuzi na hatimaye kupatikana kwa katiba mpya.