У нас вы можете посмотреть бесплатно BALAA LIMEZUKA DODOMA/WAZIRI AAGIZA KUBOMOLEWA KWA NYUMBA HARAKA/KIWANJA ARUDISHIWE MWENYEWE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma kuchukua hatua za haraka za kuvunja nyumba iliyojengwa kimakosa katika kiwanja namba 1/31 kilichopo Block D, Iyumbu North jijini humo. Waziri Ndejembi ametoa agizo hilo alipotembelea eneo hilo baada ya kupata malalamiko kutoka familia ya marehemu Thobias Simon Msigwa ambaye ni mmliki halali wa viwanja 1/30, 1/31, 1/32 na 1/33 kitalu D, Iyumbu North jijini Dodoma baada ya kupokea malalamiko ya msimamizi wa mirathi.