У нас вы можете посмотреть бесплатно #NJOMBE или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanaume mmoja mkoani Njombe ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sababu za kiuchunguzi anatuhumiwa kwa kuwafanyia ukatili wanawake watatu kwa kuwabaka na kuwaingilia kinyume na maumbile kwa zaidi ya wiki moja. Akizungumza na wananchi wa Kihesa, Halmashauri ya mji Njombe, Mkuu wa Wilaya ya Njombe na Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Usalama, Kissa Gwakisa Kasongwa amesema kuwa Serikali wilayani Njombe inasikitishwa na tukio hilo. Prisca Mgaya ni Shuhuda namba moja wa tukio hilo na mkazi wa Kilimani eneo la Kihesa hapa anaeleza kile kilichojiri baada ya wananchi kufika kumkamata mtuhumiwa ambapo amesema nguvu za wananchi ndio zilizofanya mtuhumiwa huyo kukamatwa. Mtuhumiwa wa tukio hilo na waathirika bado wanahojiwa na jeshi la Polisi juu ya tuhuma hizo