У нас вы можете посмотреть бесплатно HOTUBA YA PROFESA PLO LUMUMBA ILIYOTIKISA DUNIA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
🌟 KARIBU KWENYE CHANNEL YAKO YA AFYA PENYE UKWELI PASIPO KIFICHO! Jamii yetu imejaa kelele za afya lakini ukweli mara nyingi huwekwa kapuni.Watu wengi bado wanaamini kuwa magonjwa ni malaria typhoid na UTI tu na hapo ndipo matatizo huanzia.Lakini hapa tunaivunja hiyo minyororo ya ujinga! 👉 Hii ni channel ya afya kwa watu wanaotaka ukweli si hadithi si tetesi wala si matangazo ya mtaani. Utakutana na maelezo ya moja kwa moja kuhusu: Magonjwa ya kawaida na magonjwa adimu Afya ya uzazi kwa wanaume na wanawake Ukweli kuhusu dalili, uchunguzi na tiba Siri za kiafya ambazo hazifundishwi popote Elimu ya kinga kabla ya tiba – na tiba yenyewe ikiwepo! 🎯 Ukijua, unajiokoa. Ukishirikisha, unaokoa wengine. Karibu kwenye familia ya wanaojifunza bila kificho hapa tunasema ukweli hata kama unauma. 🛎️ SUBSCRIBE sasa hivi ili usipitwe na kila kipande cha maarifa kinachopandishwa hapa. 👥 Ukiona kuna faida mshirikishe rafiki ndugu na hata jirani!