У нас вы можете посмотреть бесплатно Festo Sanga Ashusha Hoja Nzito Bungeni I Mawaziri Wanaamua Mambo ya Ajabu Kwenye Elimu I Tudumishe или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Mheshimiwa Waziri wewe ni msomi tunakuomba sanaa sanaaa ufanye marekebisho kwenye vitu hivi, Vyuo vinaongeza idadi ya kozi ili kupata fedha nyingi za kujiendeshea, haikubaliki kabisa". Mbunge wa Makete Mhe. Festo Sanga, leo amechangia hotuba ya Wizara ya Elimu akijikita kwenye mambo makuu matatu; 1. Mabadiliko ya Sheria ya Elimu ya Mwaka 1978, ufanyiwe marekebisho ili kuondoa mwanya wa Mawaziri wa nchi hii kuamua wanavyotaka kwenye Elimu yetu. 2. Kushuka kwa Ubora wa Elimu yetu kwenye Vyuo, kutokana na Vyuo kuondoka kwenye msingi wake wa Awali wa kunzishwa. 3. Utitiri wa vitabu kwenye mfumo wetu wa elimu ambavyo vingi havina ithibati na havina ubora wowote, tunaua elimu yetu kwa makusudi. #KutokaBungeni #CloudsDigitalUpdates