У нас вы можете посмотреть бесплатно Hii Ndio Siri Mbaya Kuhusu Mafuta ya ALIZETI– “Sitayatumia Tena” (Na Mafuta Salama Kutumia) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Gundua ukweli mchungu kuhusu mafuta ya alizeti na kwa nini yamekuwa hatari kwa afya yako. Katika video hii, naeleza kwa nini sitayatumia tena na ninaonyesha mafuta salama na yenye afya unayoweza kutumia badala yake. **** Dr Nature ni jina maarufu analotumia Yusufu Mohamed Filemon. Ambaye ni kijana mwenye shahada ya udaktari wa binadamu kutoka chuo kikuu cha KCMC na mtaalamu wa tiba kwa chakula (homeopathist na naturopathist). Anafanya kazi ya kuwasaidia watu kukinga na kutibu magonjwa kwa mtindo bora wa maisha. Katika channel hii ya youtube anafundisha dondoo mbalimbali zinazowasaidia wengi kurejesha afya zao. ** SOCIAL MEDIA Facebook: Dr Nature www.facebook.com/doktanature Instagram: Dr Nature www.instagram.com/doktanature MAWASILIANO: Simu/Whatsapp: +255-767-759-137 Email: [email protected] Moshi, Tanzania