У нас вы можете посмотреть бесплатно TAMBUA MFUMO MPYA WA MANUNUZI YA UMMA - NEST или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ASASI za kiraia na taasisi zisizo za kiserikali zimetakiwa kutumia mfumo mpya wa manunuzi ya umma-NEST ili kuongeza uwazi na vilevile kusaidia katika kupata thamani halisi ya fedha zinazotolewa na serikali kwa ajili ya matumizi ya manunuzi ya Umma. Rai hiyo imetolewa Leo Jijini Dar es Salaam na Afisa Mtendaji mkuu wa PPRA, Eliakimu Maswi wakati wa halfa ya utoaji mafunzo kwa watumishi wa asasi za kiraia nchini na mashirika yasiyo ya kiserikali kuhusiana na mfumo mpya wa ununuzi wa umma kwa asasi na mashirika hayo lengo likiwa ni Kuwajengea uwezo juu ya umuhimu wa kutumia mfumo mpya wa manunuzi ya serikali. Aidha amewataka wadau wa maendeleo nchini kutoa taarifa za ukiukwaji wa taratibu za manunuzi ya umma pindi wanapobaini ili kulinda maslahi ya jamii na taifa kwa ujumla huku akisisitiza kuwa mfumo huo pia utasaidia kuondoa mianya ya rushwa kwenye shughuli za manunuzi ya umma. Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo: / spotileo-176. . HabariLeo: / habarileo DailyNews: / dailynewstz INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09