У нас вы можете посмотреть бесплатно Kipindi Maalum: Mtazame Fundi Seremala Kipofu Mwenye Uwezo wa Kipekee или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wengi wanaamini kwamba ukishapata ulemavu basi maisha yako hayana maana tena lakini kwa mzee huyu, kila kitu ni tofauti. Licha ya ukweli kwamba hana uwezo wa kuona kabisa, mzee Kiyenze amejiajiri kwenye kazi inayohitaji akili na umakini wa hali ya juu, ya ufundi seremala. Hebu jiulize, anawezaje kufanyakazi zake? Anawezake kushika msumeno au randa wakati haoni? Anawezaje kugonga msumari? Ni zaidi ya maajabu. Global TV Online, imemtembea mzee huyu mpaka nyumbani kwake, Chamazi ambapo utajionea kwa macho yako jinsi anavyofanya kazi zake za useremala, kwa ufanisi mkubwa ingawa hana uwezo wa kuona. #GLOBAL TV #SEREMALA KIPOFU #ULEMAVU WA MACHO #UJASIRIAMALI #KIPINDI MAALUM