У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WAWAUA WATU 4 na KUWACHOMA MOTO WAKIWATUHUMU KUFANYA UHALIFU - KAMANDA AELEZA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
WANANCHI WAWAUA WATU 4 na KUWACHOMA MOTO WAKIWATUHUMU KUFANYA UHALIFU - KAMANDA AELEZA... Watu wanne wenye jinsia ya kiume ambao hawajajulikana Majina yao wala Makazi wameuawa na Watu wenye hasira kali katika mtaa wa Mhongolo wilayani Kahama mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kujihusisha na Matukio ya uhalifu. Mauaji hayo yametekelezwa leo na Watu wenyehasira kali katika Mtaa wa Mhongolo baada ya kukamatwa wakituhumiwa kujihusisha na Matukio ya uhalifu nyakati za usiku kama wanavyoelezea Juma Kibiriti na Ibrahimu Jacob mashuhuda wa tukio huku Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga SACP Janeth Magomi akithibitisha kutokea kwa tukio hilo. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx