У нас вы можете посмотреть бесплатно John Heche: Ugonjwa Unaoitesa Tanzania ni Uongozi M’bovu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kiongozi mwandamizi wa chama cha upinzani CHADEMA John Heche ameeleza kwamba tatizo kubwa linaloizuia Tanzania isipige hatua za maendeleo ni uongozi ambao amesema hauwajibiki kwa wananchi. Heche, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, alitoa tathmini hiyo wakati wa mahojiano maalum na The Chanzo yaliyofanyika hapo Octoba 3, 2022, katika ofisi za The Chanzo zilizopo Msasani, Dar es Salaam. Heche anashauri kwamba ili Watanzania waweze kupata maendeleo wanayostahiki ni lazima mifumo na taasisi ziwekwe ambazo zitahakikisha watawala wanawajibika kwa wananchi hao. #thechanzo #Habari Unaweza kutufuatilia kupitia; TWITTER: / thechanzo INSTAGRAM: / thechanzo FACEBOOK: / thechanzo TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_... Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105 The Chanzo Initiative, 2022 © All Rights Reserved