У нас вы можете посмотреть бесплатно WAANDAAJI WA MAUDHUI MTANDAONI WILAYA YA MVOMERO WAJITOKEZA KUCHANGAMKIA FURSA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waandaaji wa maudhui mtandaoni katika Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero wamejitokeza kuchukua fomu za usajili ili waweze kutambulika na kupata fursa za mikopo zilizotangazwa na Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda. Akitangaza fursa hiyo Januari 30, 2026 jijini Dodoma Mhe. Makonda amesema Wizara hiyo imepatiwa kiasi cha Sh. Bilioni 2 itakayowawezesha watengeneza maudhui mitandaoni kuimarisha kazi zao na kuwaongezea kipato kupitia majukwaa ya kidigitali. Wakiongea baada ya kukabidhiwa fomu za usajili na Afisa Mawasiliano Serikalini wa Halmashauri, waandaaji hao wameishukuru Serikali chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwasajili na kuwatambua na kushauri watengeneza maudhui wachangamkie fursa hii wajitokeze kuchukua fomu ili waweze kuboresha kazi zao. Zoezi la uchukuaji wa fomu limeanza Januari 30, 2026 na litakamilika Februari 15, 2026, ambapo watengeneA maudhui wanatakiwa kufika Ofisi za Halmashauri Kitengo cha Mawasiliano Serikali zikiainisha taarifa binafsi na shughuli wanazofanya.