У нас вы можете посмотреть бесплатно NGUMU KUMEZA!!! MBUNGE NYANG’HWALE ADAI FIDIA ANAYEMCHAFUA KUHUSU MFUKO WA JIMBO. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#mwangazatv Mbunge wa jimbo la Nyang’hwale mkoani Geita Hussein Nassoro Kasu, ameonesha kukerwa na taarifa za uongo zinazozungumzwa dhidi yake zinazodai kuwa ametafuna fedha za mfuko wa jimbo. Akizungumza wakati wa sherehe za miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kasu amesisitiza kuwa taarifa hizo ni za kupotosha na haziwezi kupuuziliwa mbali bila hatua za kisheria kuchukuliwa. Amesema kuwa atachukua hatua kali dhidi ya mtu yeyote anayeendelea kusambaza uvumi huo wa uongo na wenye kumdhalilisha yeye na kamati yake iliyopo kisheria pasipo kudhibitisha madai hayo.