У нас вы можете посмотреть бесплатно RC MGHWIRA AITAKA KENYA KUWAACHIA RAIA 7 WA TANZANIA WALIOSHIKILIWA ''WAACHILIWE HURU BILA MASHARTI' или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
RC MGHWIRA AITAKA KENYA KUWAACHIA RAIA 7 WA TANZANIA WALIOSHIKILIWA ''WAACHILIWE HURU BILA MASHARTI' Mgogoro baina ya wandesha pikipiki katika mpaka wa Tanzania na Kenya wa Holili umechukua sura mpya baada ya Serikali mkoani Kilimanjaro kuzitaka mamlaka za Kenya kuwaachia huru bila masharti raia saba wa Tanzania wanaoshikiliwa nchini humo. Raia 15 ambao ni waendesh bodaboda walikamatwa Katika eneo la Taveta nchini Kenya na kuamriwa kulipa faini ya shilingi milioni moja kila mmoja kwa tuhuma za kuingia kenya kinyume cha sheria ambapo nane kati yao walimudu kulipa na saba wakashindwa kulipa na hivyo kuendelea kushikiliwa . Mzozo baina ya mamlaka za serikali nchini Kenya na wandesha boda boda wa Holili Nchini Tanzania ulianza mwanzoni mwa Mwezi huu lakini ulichukua sura mpya baada ya bodaboda hao kudaiwa kumshambulia mkuu wa kituo cha polisi cha Taveta aliyekuwa ameingi upande wa Tanzania kama shinikizo kla kutaka wenzao waachiwe huru. Mzozo huo umelazimisha kamati za usalama za wilaya za Rombo nchini Tanzania na ile ya Taita Taveta kuisini magharibi mwa Kenya kukutaana na kutafula suluhu ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvo... ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: [email protected] OR [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline