У нас вы можете посмотреть бесплатно Kuwa Monetized kwenye YouTube na kuanza Kulipwa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#Monetized #Money #YouTuber #Payments #Pesa #Fedha #Kazi #Biashara Unapokuwa YouTuber, moja ya hatua ni kuruhusiwa kuanza kulipwa pesa na YouTube. Hatua hiyo inafahamika zaidi kama kuwa MONETIZED. Ili uwe kuwa MONETIZED, kuruhusiwa kuanza kulipwa inabidi uwe na SUBSCRIBERS 1000 na Masaa ya kuangaliwa ya videos zako zote 4000 (watch hours) ndani ya miezi 12. Kama ukikamilisha mapema ni vizuri maana utaanza kulipwa haraka. Channel yangu hii ya @EBMSWAHILI imekuwa monetized hivi punde. Hii ni tofauti na channel mama ya @EBMSCHOLARS ambayo tayari ina subscribers na views nyingi sana, na nimekuwa nalipwa tangu zamani.