• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| скачать в хорошем качестве

KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga|
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga| в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



KILIMO CHA ZUCCHINI AU SQUASH AU COURGETTE.|Hili ni aina ya kilimo cha maboga|

KILIMO CHA ZUCHINI, SQUASH,COURGETTE Zao hili hujulikana pia kwa majina mengine kama zucchini, squash au courgette. Aidha, zuchini kisayansi hujulikana kama Cucurbita pepo. Tunda la zuchini huwa katika muonekano wa kijani cheusi kinachong’aa na kwa ndani ikiwa na rangi nyeupe na mmea una muonekano wa majani ya kijani au kijani iliyochanganyika na madoa meupe. Matunda ya zuchini hukua kwa haraka sana na yanahitajika kuanza kuvunwa ndani ya siku mbili hadi saba mara tu ua linapodondoka. Ili kupata mavuno mazuri ni muhimu kujua hali ya hewa pamoja na udongo unaofaa kwani si kila eneo hufaa kwa kilimo hiki. MBEGU ZA ZUCCHIN #mkulimasmart #shambadarasa •Haliyahewa inayohitajikaniya baridi kidogo na joto la wastani. Joto liwenyuzi18˚Chadi30˚C rutuba ya kutosha. Udongo Udongo wa tifutifu hufaa zaidi kwa ajili ya kilimo hiki na hakikisha eneo halituamishi maji kwani unyevu ukizidi matunda yataoza. Matayarisho ya shamba Kama ilivyo kwa mazao mengine ni lazima kuhakikisha shamba limeandaliwa vizuri kwa kulima na kufukia magugu yote. Ikiwa rutuba ya udongo imekufa basi ni vyema kama mbolea hai itasambazwa shambani kote ndipo lilimwe juma moja kabla ya kuotesha. Juu ya matuta. •Nafasikatiyatutanatutaiweni sentimeta 150. Hii pia itasaidia kuwepo kwa nafasi ya kutosha kwa ajili ya maji Zao la zuchini linapotunzwa vizuri mkulima huwa na uhakika wa mavuno kwa mda mrefu. wakati wa kumwagilia. Mbolea ya kupandia Ni vyema kuandaa mbolea ya mboji kwa ajili ya kupandia. Hii itatumika kuweka katika kila shimo wakati wa kuotesha na kwa kila shimo, weka mbolea kiasi cha gramu 100 au kiganja kimoja kilichojaa. Namna ya kuotesha Zuchini inaweza kusiwa japo ni vyema zaidi kama itaoteshwa moja kwa moja shambani. mistari 3. •Nafasikatiyamstarinamstariiwe sentimeta 40 na kati ya mche na mche iwe sentimeta 20. •Pigamashimonawekamboleaya mboji kisha weka mbegu na fukia. •Baadayasiku 7 mbegu itachipua. Umwagiliaji Mwagilia zao hili kila wiki mara moja au mara mbili ikiwa ardhi ni kame sana. Kama kuna kiasi cha mvua basi hakuna haja ya kuweka maji. Uangalizi na usafi wa shamba Hakikisha unazungukia shamba kila wakati, angalau mara tatu kwa siku (asubuhi, mchana na jioni) ili kujua ni mabadiliko gani yameweza kujitokeza katika mazao yako na kujua namna ya kukabiliana nayo mapema. Ni muhimu kusafisha shamba mara tu unapoona magugu yameanza kujitokeza. Hii itasaidi kuzuia wadudu kuzaliana katika majani na kushambulia mazao. Magonjwa na wadudu Zao hili hushambuliwa na magonjwa kama Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini Kilimo Cha mabogalishe (butternut squash) kilimo bora cha butternut squash kangeta kilimo ZUCHINI, SQUASH,COURGETTE Zao hili... - Udongo wa tifutifu hufaa zaidi kwa ajili ya kilimo hiki na hakikisha eneo halituamishi ... weka mbolea kiasi cha gramu 100 au kiganja kimoja kilichojaa. Mapato ya haraka katika zao la 'zucchini' yatakufanya urudie hushusha kiwango cha sukari mwilini hasa kwa wanaougua Kisukari,” ... Bw Peter Mugo anayefanya kilimo hiki katika Kaunti ya Kajiado ... Zucchini: bora nje aina. Maelezo na tabia ya kilimo cha Maelezo na tabia ya kilimo cha aina. Makala hii italenga mboga inayoitwa zucchini. bora nje aina, hasa kulima asili, na pia baadhi ya maelekezo rahisi kwa ... ⋆ Sheria za kukua zucchini Kitanda cha zukini kinapaswa kuangazwa vizuri na kutayarishwa (udongo umefunguliwa, ... Teknolojia ya kilimo ya kukua zucchini inahusisha hatua za msingi za ... Kilimo cha zucchini katika udongo wazi: posho kwa wakulima Kilimo cha zucchini katika udongo wazi: posho kwa wakulima wa mwanzoni. Kuandaa vitanda kutoka kwa maandalizi ya vitanda chini ya zukchini spring. Zucchini jinsi ya kupanda na wakati. Kupanda zukini na Zucchini inaweza kuitwa mboga inayopendwa zaidi kati ya wapishi na bustani. Unyenyekevu wa tamaduni hii hufanya kilimo chake kuwa cha bei nafuu hata kati ya ... Siri za Mavuno. Kilimo cha zucchini katika udongo wazihttps://tues.ru › vyrashchivanie-kaba... · Wafuasi kilimo cha kikaboni Inaweza kukua zucchini kwenye vitanda vya mbolea, ambavyo vinafanywa kutoka kwa mabaki ya mmea kavu (shaba ya viazi ni bora) na ... Biashara ya boga. Kupanda zukini kama biasharahttps://tues.ru › kabachkovaya-kom... Zucchini ni kawaida sana katika kupikia, kwa sababu ni bidhaa ya lishe. ... Hizi ni vifaa vya kulima, kuvuruga ardhi, kilimo cha majani, kupanda na kuvuna:.

Comments
  • Выращивание кабачков дома в контейнере — большие, длинные плоды — дневник от 1 до 72 дней 3 года назад
    Выращивание кабачков дома в контейнере — большие, длинные плоды — дневник от 1 до 72 дней
    Опубликовано: 3 года назад
  • Focus on Butternut Farming | Kilimo na Biashara 3 года назад
    Focus on Butternut Farming | Kilimo na Biashara
    Опубликовано: 3 года назад
  • cara menanam zucchini dari benih sampai panen || how to grow zucchini from seed to harvest 3 года назад
    cara menanam zucchini dari benih sampai panen || how to grow zucchini from seed to harvest
    Опубликовано: 3 года назад
  • 5 ОСНОВНЫХ преимуществ вертикальной выращивания кабачков и цуккини | Я никогда не вернусь назад!| 3 года назад
    5 ОСНОВНЫХ преимуществ вертикальной выращивания кабачков и цуккини | Я никогда не вернусь назад!|
    Опубликовано: 3 года назад
  • Как использовать яичную скорлупу в огороде: 3 способа, которые реально работают. 4 дня назад
    Как использовать яичную скорлупу в огороде: 3 способа, которые реально работают.
    Опубликовано: 4 дня назад
  • Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам 3 часа назад
    Атака дронами по США / Удар по небоскрёбам
    Опубликовано: 3 часа назад
  • KILIMO BORA CHA MABOGA 5 лет назад
    KILIMO BORA CHA MABOGA
    Опубликовано: 5 лет назад
  • ВСЕ ОБРАБОТКИ САДА ВЕСНОЙ ОТ ВРЕДИТЕЛЕЙ И БОЛЕЗНЕЙ! 1 год назад
    ВСЕ ОБРАБОТКИ САДА ВЕСНОЙ ОТ ВРЕДИТЕЛЕЙ И БОЛЕЗНЕЙ!
    Опубликовано: 1 год назад
  • Kilimo cha Malenge/ Pumpkin Farming in Kenya Part B || AKILI SHAMBANI 2 года назад
    Kilimo cha Malenge/ Pumpkin Farming in Kenya Part B || AKILI SHAMBANI
    Опубликовано: 2 года назад
  • ПРОСТЫЕ ПРАВИЛА ПОСАДКИ КАРТОФЕЛЯ! 1 год назад
    ПРОСТЫЕ ПРАВИЛА ПОСАДКИ КАРТОФЕЛЯ!
    Опубликовано: 1 год назад
  • Kilimo na Biashara | Courgette farming 4 года назад
    Kilimo na Biashara | Courgette farming
    Опубликовано: 4 года назад
  • How To Easily Grow Supper Sweet And Big Pumpkins//And Make Money Too#pumpkin#farming#makemoney 3 года назад
    How To Easily Grow Supper Sweet And Big Pumpkins//And Make Money Too#pumpkin#farming#makemoney
    Опубликовано: 3 года назад
  • Old Bags, Big Tomatoes: A Tomato Growing Trick That Will Surprise Everyone. 2 месяца назад
    Old Bags, Big Tomatoes: A Tomato Growing Trick That Will Surprise Everyone.
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • KILIMO CHA BOGA LISHE KIBIASHARA 1 год назад
    KILIMO CHA BOGA LISHE KIBIASHARA
    Опубликовано: 1 год назад
  • Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год. 1 месяц назад
    Выращивание помидоров в бутылках на балконе для получения свежих плодов круглый год.
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • KILIMO CHA PILIPILI HOHO II HEKARI MOJA INATOA TANI 10 MPAKA 15 10 месяцев назад
    KILIMO CHA PILIPILI HOHO II HEKARI MOJA INATOA TANI 10 MPAKA 15
    Опубликовано: 10 месяцев назад
  • МАЛО КТО ЗНАЕТ: СЕКРЕТНЫЙ СПОСОБ ПОСЕВА ДЛЯ ЖИРНОЙ И КОРЕНАСТОЙ РАССАДЫ В 2026! 1 месяц назад
    МАЛО КТО ЗНАЕТ: СЕКРЕТНЫЙ СПОСОБ ПОСЕВА ДЛЯ ЖИРНОЙ И КОРЕНАСТОЙ РАССАДЫ В 2026!
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO,MAGUNIA,MATAHILI NA VIROBA 3 года назад
    KILIMO CHA BUSTANI YA MBOGA MBOGA NYUMBANI KWA KUTUMIA MAKOPO,MAGUNIA,MATAHILI NA VIROBA
    Опубликовано: 3 года назад
  • Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini 4 года назад
    Kilimo cha Zucchini: Wakulima wafaidu kilimo cha Zucchini
    Опубликовано: 4 года назад
  • Pata mafunzo juu ya kilimo cha pesheni/makakara 6 лет назад
    Pata mafunzo juu ya kilimo cha pesheni/makakara
    Опубликовано: 6 лет назад

Контактный email для правообладателей: u2beadvert@gmail.com © 2017 - 2026

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5