У нас вы можете посмотреть бесплатно Biashara ya Vyakula Rahisi? Kuanza na Mtaji Chini Laki 8! или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu wengi wanaamini kwamba ili kuanzisha biashara ya vyakula—yaani kuuza mchele, unga, maharage na sukari—lazima uwe na mtaji wa mamilioni ya shilingi na godown kubwa. Hilo ni kosa kubwa sana linalowazuia vijana wengi kuanza biashara ya vyakula. Ukweli ni kwamba, unaweza kuanza biashara ya vyakula kwa mtaji mdogo sana, hata chini ya Laki 8 au Milioni 1, na bado ukatengeneza faida ya uhakika kila siku. How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu. Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439 Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab... Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz Mitandao yetu ya kijamii: Facebook: / tanbusiness Instagram: / tanbusiness YouTube: / alimwambola #howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs